

0N AIR CHURCH RADIO
On air church radio ni kituo cha Radio kilichoanzishwa mwaka wa 2018 chini ya kampuni ya On airchurch media kwa madhumuni ya kueneza neno la Mungu kwa njia ya Radio, kituo hiki kinapatikana Mjini Arusha na kinarusha matangazo yake ya kueneza neno la Mungu.
Announcement
February 21, 2024
0N AIR CHURCH RADIO
karibu katika radio yetu inayopatikana Arusha