Speaking Out With Tundu Lissu Episode 1 Hon. Freeman Mbowe

Speaking Out With Tundu Lissu Episode 1 Hon. Freeman Mbowe

Hon. Freeman Mbowe
01:57:51

About this episode

Katika Episode ya kwanza tunaye Mhs. Freeman Mbowe. Je unamjua kweli Mhs. Mbowe? Unajua kuwa yeye aliwahi kufanya kazi benki ya Tanzania? Aliwahi kufanya biashara ya kuuza samaki? Lini aliingia kwenye siasa na kwanini siasa za Upinzani? Sikiliza hayo na zaidi hapa.