
21 February 2026
Yaliyo jiri Afrika: Wakenya waanza kuwatafuta jamaa wao walio ajiriwa na jeshi la Urusi
SBS Swahili - SBS Swahili
About
Takriban idadi yawa Kenya 1,000 wameajiriwa kupigania Urusi, kulingana na ripoti ya ujasusi ya Kenya inayoelezea mtandao wa maafisa wahalifu wanaodaiwa kushirikiana na makundi ya biashara haramu ya binadamu.