06 November 2026
Taarifa ya Habari:Wataalam wataka huduma za afya ya wanawake ziboreshwe
SBS Swahili - SBS Swahili
About
Wataalamu wa afya ya wanawake wanatoa wito kwa serikali kuchukua hatua ili kushughulikia upungufu katika huduma za baada ya kujifungua katika maeneo ya vijijini nchini Australia.