Skip to content
Opens in a new window
Taarifa ya Habari:Wanasiasa na viongozi wa jamii wakutana kujadili kuhusu uhamiaji na tamaduni mbalimbali mjini Canberra
16 October 2026

Taarifa ya Habari:Wanasiasa na viongozi wa jamii wakutana kujadili kuhusu uhamiaji na tamaduni mbalimbali mjini Canberra

SBS Swahili - SBS Swahili

About
Waziri Mkuu Anthony Albanese ame eleza mkutano wa wanasiasa na viongozi wa jamii za tamaduni mbalimbali kuwa, karibu wanawake wahamiaji na wakimbizi 350,000 wanafanya kazi katika nafasi zilizo chini ya kiwango cha ujuzi walionao.