
26 March 2026
Taarifa ya Habari: Serikali za Australia na Ujerumani za imarisha uhusiano wa usalama
SBS Swahili - SBS Swahili
About
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani amekutana na mwenzake wa Australia Richard Marles, katika ziara ya kwanza ya mtu aliyehudumu katika nafasi hiyo katika kipindi cha miaka 8.