Skip to content
Opens in a new window
Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yawekeza milioni 88 kutoa mpango wa AUKUS
13 November 2026

Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yawekeza milioni 88 kutoa mpango wa AUKUS

SBS Swahili - SBS Swahili

About
Serikali ya shirikisho imetangaza dola milioni 88 za ziada ili kukuza, kutoa mafunzo na kudumisha nguvu kazi ya ndani ambayo inasema inahitajika ili kutoa mpango wa AUKUS.