
15 May 2026
Taarifa ya Habari:Pendekezo la bajeti la upinzani lashtumiwa kuwa na madeni, upungufu wa kifedha, na utengano
SBS Swahili - SBS Swahili
About
Waziri wa Fedha Jim Chalmers ame ongeza mashambulizi ya chama cha Labor dhidi ya hotuba ya majibu ya bajeti ya Angus Taylor, akimshtumu kiongozi huyo wa Upinzani kwa kutoa pendekezo lenye madeni, upungufu wa kifedha, na utengano.