
12 May 2026
Taarifa ya Habari:Mweka Hazina asema bajeti ijayo ina malengo, akiba na mageuzi makubwa kuliko kawaida
SBS Swahili - SBS Swahili
About
Mweka Hazina wa taifa, Jim Chalmers, ameelezea bajeti inayokuja kama ile yenye malengo makubwa zaidi ya serikali ya Labor kufikia sasa, ikiwa na kile anachokiita akiba na mageuzi makubwa kuliko kawaida.