27 October 2026
Taarifa ya Habari: Lissu atarajiwa kuanza mgomo wa kula na kutumia dawa
SBS Swahili - SBS Swahili
About
Ndege ya kwanza ya kimataifa itakayoanza kuruka kutoka Uwanja wa Ndege wa Western Sydney (Jumatatu) imetua mjini Auckland. Safari za ndege kwenda Singapore zimepangwa hivi karibuni, zikifuatiwa na Fiji na Vietnam.