
13 July 2026
Taarifa ya Habari:Daglo na maafisa wengine wa RSF wahukumiwa adhabu ya kifo
SBS Swahili - SBS Swahili
About
Mahakama ya Kupambana na Ugaidi na Makosa Dhidi ya Taifa iliyoko mjini Port Sudan nchini Sudan, , imemhukumu kifo kiongozi wa kundi la wanamgambo wa RSF, Mohamed Hamdan Daglo pamoja na maafisa wengine 15 wa RSF.