Skip to content
Opens in a new window
Taarifa ya Habari:Bunge larejea tena wiki moja baada ya shambulio dhidi ya mbunge huru Helen Haines
26 October 2026

Taarifa ya Habari:Bunge larejea tena wiki moja baada ya shambulio dhidi ya mbunge huru Helen Haines

SBS Swahili - SBS Swahili

About
Waziri Mkuu Anthony Albanese anatarajiwa kutoa hotuba bungeni leo, akiwaalika wabunge kutoa heshima zao wanapotafakari kuhusu shambulio linalodaiwa dhidi ya Helen Haines na athari zake.

#sbsaudiopodcast