Mfumo wa kiufundi umeundwa kubadilisha taka kuwa bidhaa zinazoweza kutumika
04 December 2025

Mfumo wa kiufundi umeundwa kubadilisha taka kuwa bidhaa zinazoweza kutumika

SBS Swahili - SBS Swahili

About
Nchini Australia, karibu tani milioni 7.6 za chakula zinapotezwa kila mwaka. Mwanzilishi mmoja wa kike ameunda suluhisho ndani ya sanduku.Linapokuja suala la usafi wa taka za chakula hatahivo, mwanzilishi wa kampuni ya kuanzisha Olympia Yarger [[Yar-gah]] ana fahari ya kuwa ametengeneza mfumo wa kiteknolojia unaoweza kubadilisha taka kuwa bidhaa zinazoweza kutumika – kwa kutumia wadudu.