Skip to content
Opens in a new window
Makala Leo:Serikali za QLD na NT zazuia ziara ya afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa
10 November 2026

Makala Leo:Serikali za QLD na NT zazuia ziara ya afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa

SBS Swahili - SBS Swahili

About
Serikali za Queensland na Wilaya ya Kaskizini, zinakabiliwa na ukosoaji baada ya kumzuia afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa kukagua vituo vya kuzuilia vijana.