27 October 2026
Makala Leo: Je, Victoria inaweza elekea upande wa mrengo wakulia baada ya miaka 12 ya utawala wa chama cha Labor?
SBS Swahili - SBS Swahili
About
Victoria imekuwa ikionekana kama jimbo linaloendelea. Lakini uchaguzi wa jimbo wa Novemba hii unaleta matarajio ya mabadiliko, hadi kwa mrengo wa kulia wa watu wengi huku kura zikionyesha chama cha One Nation kikiongezeka umaarufu.