
24 June 2026
Can nature help tackle loneliness? - SBS Examines: Je, mazingira ya asili yanaweza kabili upweke?
SBS Swahili - SBS Swahili
About
In a recent study of LGBTQIA+ asylum seekers and refugees, nature was used not just as a meeting place, but as an environment where participants felt safe without being questioned or judged. - Katika utafiti wa hivi karibuni wa waomba hifadhi na wakimbizi wa LGBTQIA+, mazingira yaki asili hayakutumika tu kama mahali pa kukutania, bali kama mazingira ambapo washiriki walihisi salama bila kuhojiwa au kuhukumiwa.