
12 May 2026
Australia Yafafanuliwa:Je ukotayari kwa msimu wa mafua nchini Australia?
SBS Swahili - SBS Swahili
About
Kirusi cha Influenza ni aina ya mafua yanayo ambukizwa kwa urahisi mkubwa na huzunguka mwaka mzima, lakini shughuli za mafua huongezeka wakati wa vuli, na maambukizi hufika kilele chake katika miezi ya majira ya baridi.