About
Kuna maamuzi ambayo akili pekee haiwezi kuyafanya kwa usahihi.Tunamhitaji Mungu atupe hekima, ufahamu na utambuzi wa kiroho.Hekima yake hutulinda dhidi ya njia zisizo sahihi na kutuongoza katika kusudi lake.Anayetawaliwa na hekima ya Mungu hutembea kwa mwelekeo na uhakika.
Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give