
About
Mfungo na maombi vinaenda sambamba , kazi ya mfungo ni kukusongeza karibu na ulimwengu wa roho, Ukifunga make sure unaomba, unasoma neno, na unamaanisha.Ili mfungo wako uwe na thawabu
Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give