Pasaka na Ukombozi
05 December 2025

Pasaka na Ukombozi

Pastor Neema Tony Osborn

About

Kuzaliwa kwa Yesu kulitupa tumaini, lakini kifo na kufufuka Kwake ndiko kulituletea ukombozi halisi.Kama asingekufa msalabani, dhambi zetu zisingesamehewa wala tusingepata uzima wa milele.Ndiyo maana tukio hilo linabeba uzito mkubwa kuliko siku ya kuzaliwa Kwake.


Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give