Nguvu ya Maombi Katika Ushindi
02 January 2026

Nguvu ya Maombi Katika Ushindi

Pastor Neema Tony Osborn

About

Maombi ni silaha yenye nguvu katika vita vya maisha.Kupitia maombi, tunasimama katika ushindi ulioandaliwa na Mungu.Kila changamoto hupoteza nguvu inapokutana na imani.Ndani ya maombi, ushindi wetu  huthibitishwa


Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give