NoticiAudio Kimuani 14.05.2021

NoticiAudio Kimuani 14.05.2021

NoticiAudio
00:06:01
Link

About this episode

Salama jamah mussikiliza noticiAudio. Karibuni habar za lelo kamba ezi:


▪Wakilima watenda mandamano mpaka pepi na Vale província ya Tete.


▪Mapulicia wa bunduqui wakataza mandamano kuhusu nzuluku mwingui wa walebele wanabungue.


▪Igreja católica yukwamba sirikali aina shuguli wa wanainchi isipokuwa mafuta.


▪MDM itisa nkutano wa umodja mwisho ya muezi ewu.


Landikisse uzuji wa Podcast ema ukurassa wa Telegram na WhatsApp pamodja na ukurassa wa Facebook wa NoticiAudio ili uphathe habazi za mana za inty ya Moçambique, kwa Kila sumana.


Leia o script em Português  aqui


Assante Sana, mphaka nafassi Nhenguine!