SADAKA YA DAMU ITOKANAYO NA UPENDO

SADAKA YA DAMU ITOKANAYO NA UPENDO

PROPHET SIMON CHARISMA
01:12:16

Podcast

NENO
NENO

About this episode

MWANZO 4;9

Damu ni uhai nakwenye damu ndiko kuna uhai. Chanzo cha damu kwenye mwili ni Roho. Damu inauweza wakuzungumza namambo yakatokea. MWANZO 4;9-10 Habili alikua amekufa lakini damu yake ilikua inalia kutaka kulipiza kisasi.

GALATIA 2:20

Katika agano jipya uhai tulionao haupo tena katika damu. Hatuishi kwakutegemea damu tena bali tunaishi kwa imani ya mwana wa Mungu Kristo Yesu imereplace damu kwenye mwili.