MSINGI WA IMANI NI NINI JINSI YA KUJIJENGA KIIMANI.mp3

MSINGI WA IMANI NI NINI JINSI YA KUJIJENGA KIIMANI.mp3

PROPHET SIMON CHARISMA
00:33:26

Podcast

NENO
NENO

About this episode

Pale tu unapomwamini nakumkubali Yesu Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako kuna kiasi cha imani kinaingia ndani yako ambacho kitakusaidia katiota mambo unayokutana nayo kwenye maisha yako. Naimani yako itategemea sana wewe kulitii neno la Mungu.

ZABURI 91:1-16

Tunapata ujasiri wa imani katika maisha yetu kwasababu ya uaminifu wa Mungu juu yetu tukiwa nahakika kwamba yeye ni mwaminifu katika kila jambo.