HATARI YA MANENO YAKO.

HATARI YA MANENO YAKO.

PROPHET SIOMN CHARISMA
00:33:19

Podcast

NENO
NENO

About this episode

Yakobo 3:9-12

Kama mwana wa Mungu imekupasa kuwa makini na maneno yako.

Yohana 12:33-36

Maneno yenye maana niyale yanayoendana na Mungu kama alivyosema. Kabla hujazungumza inapaswa ujitafakari sana nini unataka kuzungumza. Imetupasa kuwa makini sana na maneno yetu