Faida za Damu ya Yesu.mp3

Faida za Damu ya Yesu.mp3

PROPHET SIMON CHARISMA
00:22:10

Podcast

NENO
NENO

About this episode

UFUNUO WA YOHANA 5;1-8

Yohana aliona katika maono kitabu kilichoandikwa nyuma na mbele chenye mihuri saba. Nakulikua hakuna mtu awezaye kukifungua wala kukitazama kitabu hicho kwasababu hakuna aliyestahili. Yesu Kristo pekeyake ambae ndie simba wakabila la yuda alieshinda mauti ndiye alieshinda ili aweze kukitazama nakukifungua kitabu hicho. Mwanakondoo aliechinjwa msalabani kwaajili yakumwaga damu nakutununua sisi kwa upendo aliokua nao kwetu.