BILLY AKATU KE
NEEMA RADIO (Idhaa Ya Habari Njema)
tunawaleteeni habari na mafundisho kedekede ya injili ya Bwana wetu Yesu kristo na miziki ya kuituliza nafsi yako na kukufanya mwepesi wa moyo na mgumu katika imani ya kuipokea injili.
Usikose kushare na sisi kwa kupitia email:silvarama12@gmail.com
Au +254707238162