17 October 2026
Rais wa zamani wa DRC aunda chama kipya cha uasi, wakenya wamkumbuka Raila
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
About
Makala hii imeangazia hatua ya rais mstaafu wa DRC Joseph Kabila kuzindua muungano mpya wa uasi wa FRN. Maadhimisho ya miaka 27 tangu alipoaga dunia mwasisi wa taifa la Tanzania mwalimu Julius Kambarage Nyerere, maadhimisho ya mwaka wa kwanza tangu kifo cha aliyekuwa mwanasiasa mashuhuri na kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga, ziara ya mfalme wa Hispania Filipe wa Sita kwenye kisiwa cha Ceuta,Trump alisema walifikia makubaliano ya nishati na Urusi