
29 June 2026
Mkutano wa Innovate4cities: Kuharakisha hatua za kukabili mabadiliko ya tabianchi kwenye miji duniani.
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
About
Mkutano huo ulioandaliwa na Global Covenant of Mayors for Climate and Energy (GCoM kwa ushirikiano na UN-Habitat, ulijadili mada tofauti kama vile sayansi ya tabianchi, sera na namna ya kuangazia mianya iliopo katika elimu, data, ufadhili na utakelezaji zinazolemaza mikakati ya kukabili tabainchi kwenye miji.
Katika makala yetu hivi leo, nimezungumza na Bi Maryam Wangeshi, ni msanifu wa majengo lakini pia alikuwa katika kamati ya maandalizi ya mkutano huo.