
27 April 2026
Jamii katika maeneo kame nchini kenya zawezeshwa ili kustahimili athari za mabadiliko ya tabianchi.
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
About
Nchini Kenya, mzozo wa rasilimali katika jamii zinazopatikana katika maeneo kame ni changamoto ya muda mrefu, na kumekuwa na jitihada ya mashirika tofauti kuziwezesha jamii hizo kustahimili changamoto zitokanazo na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Kupitia mradi wa IMARA, jamii ya wafugaji sasa wamegeukia ukulima wa aina tofauti ambao baadhi yao unawadsaidia hata kupata chakula ya mifugo wao.