26 October 2026
Awamu ya pili: Kongamano la masoko ya kaboni barani Afrika, Kigali
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
About
Pamoja na Bwana Zephaniah Kivungi, mkurugenzi wa tabianchi katika shirika la CIFF, tunaendelea na awamu ya pili ambapo nilikuahidi kuangazia ni kwa namna gani tunaweza kuhakikisha kuwa biashara ya kaboni zinawakilisha upunguzaji halisi wa gesi chafuzi.