
20 April 2026
Sera za Mipango miji barani Afrika zinazingatia ustahimilivu wa majanga mijini?
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
About
Mkutano wa pili wa Umoja wa Afrika unaofahamika kama 'Jukwaa la Mijini Afrika (AUF) ulianzishwa kwa nia ya kuwezesha mazungumzo na uratibu wa ukuaji endelevu wa miji na makazi ya watu barani Afrika.
Pamoja na Maryam Wangeshi, msanifu wa majengo, tunaangazia matokeo ya mkutano huo na ikiwa mataifa ya Afrika yana mipangilio ilio bora katika kuwezesha miji yetu kustahimili majanga ya kimazingira.