Opens in a new window
Kuna haja ya serikali za Afrika kukumbatia mfumo endelevu ya kukabili taka ngumu kwenye mazingira.
01 June 2026

Kuna haja ya serikali za Afrika kukumbatia mfumo endelevu ya kukabili taka ngumu kwenye mazingira.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

About

Tatizo la uchafuzi wa mazingira kutokana na taka  ngumu, bado ni changamoto katika miji mingi barani Afrika.

Hata hivyo, hivi karibuni, kumekuwa na jitihada kwenye baadhi ya mataifa ambapo sasa nchi zimeanza kuwa na sheria na kanuni za kuhakkisha usimamizi endelevu wa taka, kwa kuwahusisha wazalishaji na waagizaji wa bidhaa.