Skip to content
Opens in a new window
Kenya: Ubunifu wa unaogeuza magugu maji kuwa mifuko ya kupakia bidhaa na matumizi mengine
24 August 2026

Kenya: Ubunifu wa unaogeuza magugu maji kuwa mifuko ya kupakia bidhaa na matumizi mengine

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

About

Kwa wavuvi katika ziwa Niavasha, kama vile Simon Macharia na Joseph Kimani, Magugu maji yamekuwa kero kwa muda mrefu, na wakati mwingine kuwasababishia hasara.

Lakini sasa kutokana na ubunifu wa Joseph Nguthiri, kijana bingwa wa dunia wa Mazingira wa UNEP mwaka wa 2025, na mwanzilishi wa kampuni ya Hyapak wavuvi wanaweza kujipatia kipato zaidi.