12 October 2026
Kenya: Sahihi Elfu sitini za kuitaka serikali kusitisha ukataji wa miti kwenye misitu ya umma
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
About
Madai ya wanaharakati pia yanaitaka serikali kusitisha mipango yoyote ya kutenga maeneo ya misitu kwa ajili ya matumizi mengine, kama vile ujenzi wa barabara, kudumisha marufuku ya ukataji miti ili kulinda misitu iliosalia nchini Kenya, na kuchukua hatua za haraka na thabiti dhidi ya shughuli za ukataji miti kinyume cha sheria na uporaji wa ardhi ndani ya maeneo ya misitu