MAISHA NI ZAIDI YA CHAKULA

MAISHA NI ZAIDI YA CHAKULA

Eng. Kabenda Balete

About this podcast

Maisha ya wakristo wengi yamejaa majuto na kutofanikiwa, hadi wanafikia hatua wakidhani kuwamwamini Mungu na ahadi zake siza kweli. Lakini ukweli ni kwamba ili umuone Mungu katika maisha yako hapa duniani unahitaji mambo makubwa mawili.

    Umjue Mungu vizuri yani uokoke ili uwe na uhalali wa kuwa mtoto wa Mungu.

    Uwe na maarifa kujua Mungu anataka uishije.

Kanuni ya kwanza wengi wameishinda lakini ya pili ndiyo inayo watesa wengi na maisha yao hayasadiki kile wanacho amini. Wanadhani kumwamini Yesu kunatosha kuwafanikisha kumbe siyo. Ndiyo maana neno linasema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.

Katika kipindi hiki utajifunza nyenzo mbalimbali za kukutoa katika mkwamo wa maisha hapo ulipo.

Karibu sana na Mungu akubariki.

more

Language

English

Top CategoriesView all