
About
On the International Day for the Elimination of Violence Against Women, Kazi the Podcast sheds light on this often unspoken yet ever-present menace. We aim to emphasize the importance of open dialogue regarding this issue within workplaces and provide guidance on how to respond if you find yourself confronted by such a situation.==========================Katika kusherekea Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukatili dhidi ya Wanawake, Kazi the Podcast inamulika jinamizi hili katika maeneo ya kazi, lengo likiwa ni kuchochea uwazi zaidi katika kuzungumzia aina hii ya ukatili, na kutoa mwongozo wa jinsi gani unavyoweza kukabiliana na kujinasua pale utakapojikuta katika hali hiyo.