Skip to content
Opens in a new window
Debi la Kariakoo Simba na Yanga, nani atashinda leo, Mkutano wa CAF wa Kimkakati
10 October 2026

Debi la Kariakoo Simba na Yanga, nani atashinda leo, Mkutano wa CAF wa Kimkakati

Jukwaa la Michezo

About

Tuliyokuandalia leo ni pamoja na michuano ya kufuzu Afcon U23, U20 na U17, Olimpiki ya LA 2028, yaliyojadiliwa katika mkutano wa kimkakati wa CAF, debi la kariakoo leo usiku kati ya Yanga na Simba, Ligi kuu ya soka Kenya yarejea huku mwamuzi akivamiwa, Safari Rally yarejea katika kalenda ya WRC 2027, Rwanda ipo karibu kufikia makubaliano ya kuandaa mkondo wa F1 mwaka 2030, Messi astaafu soka la kimataifa huku Ronaldo akisamimishwa kwa muda. Verstappen ashinda kufuzu kwa mkondo wa Singapore GP