08 August 2026
WAFCON yaingia mtoano, Rayon mabingwa wa CECAFA, CAF yamuunga mkono Infantino
Jukwaa la Michezo
About
Tumeangazia uchambuzi wa matokeo na matukio kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika kina dada inayoingia kwenye mtoano, droo ya michuano ya klabu bingwa, CAF yamuunga mkono rais Infantino, Rayon yashinda ubingwa CECAFA baada ya miaka 28, Simba Day ni leo, mshindi wa medali ya fedha mbio za kutembea mita 10,000 kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola 2026 Stephen Ndangiri apigwa marufuku kwa tuhuma za kutumia dawa za kusisimua misuli, tetesi za uhamisho ulaya na matukio ya mashindano ya Toronto Open