Senegal yakataa rufaa rasmi, msimu mpya wa BAL waanza, FIFA Series yashika moto
28 March 2026

Senegal yakataa rufaa rasmi, msimu mpya wa BAL waanza, FIFA Series yashika moto

Jukwaa la Michezo

About

Leo kwenye jukwaa tumeangazia rufaa ya Senegal kwa mahakama kuu ya spoti, ripoti ya CAF yasema Afrika Mashariki haipo tayari kuandaa Afcon 2027, Afrika Kusini na Kenya zafuzu Kombe la Dunia la gofu ya chipukizi, ripoti maalum ya FIFA Series mjini Kigali, mashindano ya KipKeino Classic yapata sura mpya, ni kwa nini Djigui Diarra amepigwa marufuku ya mechi tatu nchini Tanzania?, vikwazo vipya vya Marekani kwa nchi tano za Afrika, DRC kuchuana na Jamaica, IOC dhidi ya huntha, Tiger Woods akamatwa