15 November 2026
Olimpiki ya vijana ikitamatika, Raundi ya tatu kufuzu AFCON 2027 imeanza
Jukwaa la Michezo
About
Leo tutaangazia mashindano ya Olimpiki ya vijana kutamatika jijini Dakar, Senegal, uchambuzi wa raundi ya tatu ya mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2027, fainali ya klabu bingwa Afrika kwa kina dada, AFCON U23, ukuaji wa gofu ya kina dada Tanzania. Azma ya Arsene Wenger kuwania urais wa FIFA, Michael Carrick afutwa kazi Man Utd Pochettino atajwa kocha mpya.