About
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Nigeria kuapisha shirikisho la mpito kusimamia soka, Ethiopia yawasilisha ombi la kuandaa Afcon 2028, DRC yabanduliwa michuano ya Afrika ya Voliboli, mechi za kufuzu Kombe la Dunia la Basketboli yaingia raundi ya pili; wakenya Faith na Wanyonyi wang'ara riadha za Zurich Diamond League, Rayon Sport yajiandaa mechi za Kombe la Shirikisho, Kenya yaibuka bingwa mashindano ya ANOCA, Droo ya Ligi ya Mabingwa, tetesi za uhamisho, Norris asaini mkataba mpya McLaren