
16 May 2026
Michezo kwenye mkutano wa Africa Forward Summit, Ghana yakosolewa mpangilio duni
Jukwaa la Michezo
About
Leo tunaangazia baadhi ya matukio ya michezo yaliyozungumziwa kwenye mkutano wa Africa Forward Summit uliokamilika hiki hii, uchambuzi wa Ghana kukosolewa kuandaa mashindano duni ya Afrika ya riadha, Al Hilal ya Sudan yatwaa ubingwa wa soka Rwanda, Motsengo Omba akizindua nguzo zake tano za uongozi wa Fecofa, fainali ya Kombe la Shirikisho, Afcon U17 yaanza huko Morocco, mataifa yaanza kuzindua vikosi vyao kuelekea Kombe la Dunia, PSG yashinda wa 14 huku Carrick akikaribia kusaini mkataba.