Skip to content
Opens in a new window
Mechi za kufuzu Afcon U20, U17, Olimpiki, Klabu Bingwa Afrika na F1
17 October 2026

Mechi za kufuzu Afcon U20, U17, Olimpiki, Klabu Bingwa Afrika na F1

Jukwaa la Michezo

About

Mechi za kufuzu Afcon U20, U17 na Olimpiki ya 2028 zinaendelea, Raundi ya pili ya kufuzu mechi za klabu bingwa, Tanzania yabanduliwa kwenye mashindano ya Afcon mchezo wa futsal, CAF na FIFA zaongeza ruzuku kwa wanachama wake, Mchezo wa langalanga kurejea Afrika kuanzia mwaka 2030, Raga ya dunia daraja la pili kurejea Kenya, Kombe la dunia la wasichana chini ya miaka 17 lang’oa nanga nchini Morocco, uchambuzi wa matokeo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.