
14 March 2026
Mashindano ya dunia ya kukimbiza Magari-Kenya Safari Rally yapamba moto Naivasha
Jukwaa la Michezo
About
Mashindano ya dunia ya kukimbiza Magari, Kenya Safari Rally, yanaendelea kushika kasi mjini Naivasha ambapo madereva mbalimbali duniani, wanachuana kutafuta ubingwa. Nani ataibuka bingwa ?