Skip to content
Opens in a new window
Malawi na Cameroon zatinga fainali michuano ya WAFCON 2026 nchini Morocco
15 August 2026

Malawi na Cameroon zatinga fainali michuano ya WAFCON 2026 nchini Morocco

Jukwaa la Michezo

About

Tuliyoangazia leo ni pamoja na uchambuzi wa matokeo na matukio ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kina dada inayofikia tamati wikendi hii, mechi za kufuzu kombe la dunia la basketboli chini ya miaka 18, Kenya yawasilisha nia ya kuandaa mashindano ya dunia ya riadha 2029. Je, Yanga itatetea ubingwa wa ligi kuu Tanzania baada ya kushinda ngao ya jamii?, PSG yashinda taji la UEFA Super Cup, tetesi za uhamisho, Swiatek ashinda taji lake la kwanza mwaka huu kwenye tenisi