Skip to content
Opens in a new window
Kila unachofaa kufahamu kuhusu michuano ya Olimpiki ya vijana ya 2026
01 November 2026

Kila unachofaa kufahamu kuhusu michuano ya Olimpiki ya vijana ya 2026

Jukwaa la Michezo

About

Leo tunazungumzia kuanza kwa mashindano ya Olimpiki ya Vijana jijini Dakar, Senegal, CAF kurejesha AFCON kila ya baada ya miaka miwili, droo ya michuano ya klabu bingwa Afrika, ufunguzi wa uwanja wa Talanta nchini Kenya wazua gumzo kubwa, Kenya yabanduliwa michuano ya Kombe la Dunia chini ya miaka 17, DRC yaibuka bingwa wa mashindano ya Afrika ya ndondi huku Harry Kane akishinda tuzo la Ballon d'Or 2026 wakati Chelsea na Arsenal zikiaga Kombe la Carabao Cup.