01 November 2026
Kenya yatinga nusu fainali kwenye Baseball5 michezo ya Olimpiki ya Vijana
Jukwaa la Michezo
About
Leo tumeangazia Michezo Ya Olimpiki Ya Vijana Yaingia Siku Ya Pili Jijini Dakar, Senegal, Kwenye mjadala: Uwanja Wa Talanta Kufunguliwa Na Mechi Kati Ya Bayern Munich Dhidi Ya Ajax na Nafasi Ya Mwafrika Kushinda Tuzo La Ballon D’or Iko Wapi? Samson Adamu Ndiye Katibu Mkuu Mpya Wa Caf, Kuanza kwa Klabu Bingwa Kwa Kina Dada, DRC yang'ara Mashindano Ya Ndondi Mjini Kinshasa, Droo Ya Handboli Ya Afrika Ya Kina Dada, Lewis Hamilton Kuanza Katika Nafasi Ya Kwanza Mkondo Wa Mexico City Grand Prix.