Skip to content
Opens in a new window
Je, Afrika iko tayari kuandaa michezo mikuu ya Olimpiki ya majira ya joto?
08 November 2026

Je, Afrika iko tayari kuandaa michezo mikuu ya Olimpiki ya majira ya joto?

Jukwaa la Michezo

About

Leo kwenye kipindi tunapiga darubini na tathmini ya uwezo wa Afrika kuandaa michezo mikuu ya Olimpiki baada ya kuandaa michezo ya Olimpiki ya vijana kwa mara ya kwanza, tuzo za CAF mwaka huu, klabu ya APR yaondolewa kwenye Ligi ya BAL, fainali ya handboli Afrika kwa kina dada, kocha mpya wa Yanga, Nigeria yashinda Kombe la Dunia la wasichana chini ya miaka 17, derby ya Lubumbashi kati ya Lupopo na Mazembe na azma ya rais wa soka Japan kuwania urais wa FIFA.