DR Congo wafuzu Kombe la Dunia, Wanyama astaafu soka, Ghana yafuta kocha
04 April 2026

DR Congo wafuzu Kombe la Dunia, Wanyama astaafu soka, Ghana yafuta kocha

Jukwaa la Michezo

About

Leo tumeangazia kufuzu kwa DRC michuano ya kombe la dunia tukiwa na mgeni wetu Felly Mulumba, mchezaji wa soka kutoka DRC, Ghana yamfuta kocha Otto Addo, mageuzi katika kamati andalizi ya AFCON 2027 nchini Kenya, Tigers na Petro de Luanda zafuzu fainali ya BAL, Algeria mabingwa wa basketboli ya vitimagu Afrika, kustaafu kwa Victor Wanyama huku ligi ya Kenya ikilenga kuwa bora Afrika, je De Zerbi ataiokoa Spurs kushushwa daraja?